Johnjbp.blogspot.com
Tel:255766591143. Advertise here with us
Wednesday, 16 November 2016
Ajali yaua mwendesha pikipiki...
Ajali imetokea kijichi mtaa wa mwembeni mnamo majira ya 16:00.hadi sasa mtu mmoja amefariki dunia papo hapo..mtu huyo alikuw anaendesha pikpik..kwa majina hajafahamika.
No comments:
Post a Comment