Tuesday, 22 November 2016

WCB waja kivingine,,,,Watafany Boooonge la party...


      Katika kusherehekea Christmas mwaka huu, WCB wanatarajia kufanya show yao ya kwanza wakiwa pamoja, December 24 iliyopewa jina Wasafi Beach Party jijini Dar es Salaam.
Wasanii wote wa label hiyo ya WCB wakiongozwa na Fundi chibu dangote bin laben (Diamond Platnum) Wataperfom. Lakini huenda kukawa na ugeni mkubwa wa staa wa nje na tayari meneja wa Diamond, Sallam ametease jina.

Alitupia picha ya mlimbwende wa Kimarekani, Amber Rose aka Mama Sebastian Mzaz mwenzie Wiz Khalifa, Sallam Sk aliandika kwenye Instagram, “Wangapi watu wanataka huyu dada ashuke bongo siku akinukishe watu wale nae Bata??????????????

                             
                           

No comments: