Saturday, 3 December 2016

HIZI NDIZO SABABU ZA UGOMVI WA DIAMOND PLATNUM NA ALIKIBA

                   
             
Mtaani»» Zifahamu sababu kadhaa za ugomvi.
 Katika maisha ya kawaida kabisa,kutofautiana kifkra ni jambo la kawaida hasa kwa watu ambao muda mwingi wanakuwa pamoja.kuna baadhi ya sababu ambazo zinaweza kufanya watu kugombana.

   1.kupishana kauli.
    Mnapokuwa watu zaid ya mmoja hii sababu inaweza kutokea kabisa.marafiki,ndugu au jamaa mnapoishi sehemu moja na kushirikiana karibu kwa kila jambo,kuna nyakati zinatokea mnapishana kauli. Jambo hili linaweza kusababisha watu kugombana kwa asilimia kubwa.ushauri,ikitokea mnapishana kauli na mwenzio jitahid kujishusha alaf mnawekana sawa mambo yanakuwa vyema.

   2. Ushawishi wa watu
  Ili linawakuta sana watu maarufu kama wasanii,wanasiasa,wafanyabiashara na wengineo. Inapotokea watu wawili maarufu pia marafiki wakawa katika mashindano fulani,mashabiki wao wanaweza kuchangia kwa asilimia kubwa kutokea kwa ugomvi baina yao.kwa mfano diamond na alikiba.

  3. Mapenzi
  Hili nadhani watu wengi sana wanaielewa. Kwa ufupu tu mapenzi yanachochea kwa kiwango kikubwa sana watu kugombana hadi kufikia hatua ya kulipiziana kisasi.

By John jbp

No comments: