Johnjbp.blogspot.com
Tel:255766591143. Advertise here with us
Sunday, 4 December 2016
Rais Magufuli afanya uteuzi wa mabalozi katika nchi mbalimbali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dtk John Pombe magufuli amefanya uteuzi wa mabalozi kadhaa katika balozi mbali mbali huku akiteuwa mabalozi 6 katika balozi mpya zitakazoanzishwa hivi punde.
No comments:
Post a Comment