video queen Tunda......
Saturday, 4 February 2017
MANENO YA TUNDAMAN BAADA YA KUTAJWA KWENYE LIST YA MAKONDA....
Msanii mkongwe wa bongo fleva Khalid Ramandani a.k.a Tundaman mwenye makazi yake jijini dar es salaam ambapo tar 3 february 2017 mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Paul Makonda akizungumza akiwa makao makuu ya polisi kituo cha kati alisema miongoni mwa watu wanaotakiwa kufika kituoni hapo ni pamoja na Tunda......Kwa sababu mkuu wa mkoa hakutumia majina halisi kwa baadhi ya watu aliowataja tundaman anasema watu wengi walianza kumpigia simu akiwemo soudy brown na baada ya simu kuwa nyingi tundaman akaamua kufunguka na kusema kuwa sio yeye aliyetajwa na Paul Makonda bali ni mrembo na video queen ajulikanaye kwa jina la Tunda......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment