Man utd vs Arsenal ilikuw mechi ya mapema ambapo matokeo yalikuw sare ya 1-1,goli la man utd lilifungwa na juan mata dakika ya 68 pasi nzuri kutoka lwa ander herrera wakati lile la arsenal likufungwa na olivier giroud dakika ya 89.
Matokeo mengine man city ikiilaza crystal pallace mabao mawili kwa moja huku magoli ya man city yakiwekwa kimyani na yaya toure na crystal pallace likifungwa na C wickhman
Liverpool ikitoa suhulu mbele ya southampton,tottenham mabao 3 kwa 2 na west Ham utd,barca na malaga suluhu,bayern munich wamefungwa na Borrusia Dortmund huku goli la dortmund likifungwa na aubemeyang,PSG imeshinda 2 huku Nantes 0,wolfsburg 0 schalk 04 kashinda 1,Genk 2 Eupen 0.
No comments:
Post a Comment